top of page
Search


Kwa nini mahusiano ya karibu na mtoto wako ni muhimu kwa ukuaji wake?
Mabadiliko ya mfumo wa maisha hasa katika utafutaji yamewafanya wazazi walio wengi hukosa muda wa kuwa karibu na watoto wao. Hivyo watoto...

C-Sema Team
Mar 14, 20182 min read


Zifahamu haki tano muhimu za mtoto wako
Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu...

C-Sema Team
Mar 10, 20183 min read


Zijue kazi wanazofanyishwa watoto kinyonyaji
Sheria ya Mtoto inainisha juu ya haki ya mtoto kufanya kazi ili kumuandaa kujitegemea pindi awapo mtu mzima. Hivyo zipo taratibu na...

C-Sema Team
Mar 1, 20183 min read


Mzazi anza kumjengea mwanao tabia ya kujitegemea mapema
Tunapata wasiwasi mkubwa juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu kwamba watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna...

C-Sema Team
Feb 28, 20182 min read


#SimuliziZa116: Watoto wawili yatima wapata mlezi kwa uasili (adoption)
Ilikuwa ni siku tulivu ambapo mshauri wetu katika kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto #116 alipokea simu ya Bwana Juma Said aliyepiga...

C-Sema Team
Feb 23, 20182 min read


Kwanini mzazi unahitaji elimu ya huduma ya kwanza kwa mtoto wako
Watoto wawapo nyumbani hujihusisha na michezo mbalimbali ambayo kwayo huburudishwa na kuwajengea mahusiano bora. Kila hatua ya ukuaji wa...

C-Sema Team
Feb 20, 20182 min read


Afya na usalama wa mfanyakazi wa nyumbani ni jukumu lako mwajiri
Ongezeko la umasikini vijijini na ukosefu wa soko makini la mazao vimepelekea idadi kubwa ya watoto kuingia katika soko la ajira la kazi...

C-Sema Team
Feb 20, 20182 min read


#SimuliziZa116: Mtoto alotelekezwa apata matunzo
Ilikuwa ni siku ya tarehe 2 Januari 2018 ambapo mshauri wetu wa Huduma ya Simu kwa mtoto alipokea simu ya mama kutoka wilaya ya Ubungo....

C-Sema Team
Feb 17, 20182 min read


Watoto wa Kitanzania wanatumia mitandao sawa na wenzao kutoka mataifa yaliyoendelea
Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano hasa inteneti, simu na mitandao ya kijamii yamekuwa na athari chanya na hasi kwa...

C-Sema Team
Feb 7, 20183 min read


#SimuliziZa116: DNA yasaidia kumtambua baba mzazi
Ilikuwa tarehe 8 mwezi Januari 2018 tulipokea simu toka kwa Mama Jackson (jina halisi tumelihifadhi) anayeishi Makambini wilaya ya Momba....

C-Sema Team
Feb 4, 20182 min read


Dondoo tano kwako mzazi wakati huu wa siku kuu
Naam, hizi hapa dondoo tano tulizokukusanyia toka kote mtandaoni ili kukusaidia kuwa na wakati mzuri na watoto wako msimu huu wa likizo....

C-Sema Team
Dec 31, 20172 min read


#SimuliziZa116: Baba apandishwa kizimbani kwa ukatili wa kingono kwa mwanae.
Tarehe 7 Disemba 2017 tulipokea simu kutoka kwa mama aliyeongea kwa uchungu mkubwa. Alijitambulisha kama mama Mariam mkazi wa wilaya ya...

C-Sema Team
Dec 30, 20171 min read


Malezi kwa watoto wakati wa likizo.
Disemba ni mwezi ambao umejaa sikukuu nyingi na pia ni mwezi ambao watoto hufunga shule na kurejea nyumbani kwa ajili ya mapumziko ili...

C-Sema Team
Dec 12, 20172 min read


Ben calls 116 to get help back to school
A boy named Ben called #116 from Sumbawanga Rural. He reported that, after he was done with primary school, he went back home to his...

C-Sema Team
Nov 30, 20171 min read


Namna wazazi tunavyoishi na athari zake katika maadili ya watoto
Mwenendo wa maisha ya wazazi hujumuisha maneno, matendo, tabia na desturi za wazazi wanazotumia katika kuendesha maisha yao ya kila siku...

C-Sema Team
Nov 25, 20172 min read


Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia
Katika makala haya tunaangalia namna ya kumsadia mtoto aliyezaliwa pekee kwenye familia ili kuondokana na madhara yatokanayo na malezi ya...

C-Sema Team
Nov 12, 20172 min read


Jinsi ya kuandaa chakula cha nyongeza cha mtoto wa miezi 6
Tumezungumza na Bi Neema Shosho, mtaalamu wa lishe toka Shirika la Chakula Duniani (WFP). Bi. Shosho ametupa darasa la namna chakula cha...

C-Sema Team
Nov 10, 20173 min read


Namna ya kumsaidia mtoto kukabiliana na msiba
Watoto na watu wazima hukabiliana na hali ya kuondokewa na wapendwa wao kwa njia tofauti. Mapokeo ya mtoto hutegemea umri, kiasi gani...

C-Sema Team
Nov 10, 20172 min read


Je mzazi unahusika katika kufaulu ama kufeli kwa mwanao masomoni?
Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili,...
Nadhira Jiddawi
Nov 2, 20173 min read


Mlinde mtoto wako kwa kumsikiliza
Mara nyingi huwa tunasisitiza umuhimu wa kumsikiliza mtoto. Kwanini tunasisitiza sana suala hili? Simu nyingi tunazopokea katika Kituo...

C-Sema Team
Oct 30, 20172 min read
bottom of page
