top of page
Search


Afya na usalama wa mfanyakazi wa nyumbani ni jukumu lako mwajiri
Ongezeko la umasikini vijijini na ukosefu wa soko makini la mazao vimepelekea idadi kubwa ya watoto kuingia katika soko la ajira la kazi...
C-Sema Team
Feb 20, 20182 min read
4


#SimuliziZa116: Mtoto alotelekezwa apata matunzo
Ilikuwa ni siku ya tarehe 2 Januari 2018 ambapo mshauri wetu wa Huduma ya Simu kwa mtoto alipokea simu ya mama kutoka wilaya ya Ubungo....
C-Sema Team
Feb 17, 20182 min read
1


Watoto wa Kitanzania wanatumia mitandao sawa na wenzao kutoka mataifa yaliyoendelea
Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano hasa inteneti, simu na mitandao ya kijamii yamekuwa na athari chanya na hasi kwa...
C-Sema Team
Feb 7, 20183 min read
0


#SimuliziZa116: DNA yasaidia kumtambua baba mzazi
Ilikuwa tarehe 8 mwezi Januari 2018 tulipokea simu toka kwa Mama Jackson (jina halisi tumelihifadhi) anayeishi Makambini wilaya ya Momba....
C-Sema Team
Feb 4, 20182 min read
1


Dondoo tano kwako mzazi wakati huu wa siku kuu
Naam, hizi hapa dondoo tano tulizokukusanyia toka kote mtandaoni ili kukusaidia kuwa na wakati mzuri na watoto wako msimu huu wa likizo....
C-Sema Team
Dec 31, 20172 min read
0


#SimuliziZa116: Baba apandishwa kizimbani kwa ukatili wa kingono kwa mwanae.
Tarehe 7 Disemba 2017 tulipokea simu kutoka kwa mama aliyeongea kwa uchungu mkubwa. Alijitambulisha kama mama Mariam mkazi wa wilaya ya...
C-Sema Team
Dec 30, 20171 min read
1


Malezi kwa watoto wakati wa likizo.
Disemba ni mwezi ambao umejaa sikukuu nyingi na pia ni mwezi ambao watoto hufunga shule na kurejea nyumbani kwa ajili ya mapumziko ili...
C-Sema Team
Dec 12, 20172 min read
76


Ben calls 116 to get help back to school
A boy named Ben called #116 from Sumbawanga Rural. He reported that, after he was done with primary school, he went back home to his...
C-Sema Team
Nov 30, 20171 min read
2


Namna wazazi tunavyoishi na athari zake katika maadili ya watoto
Mwenendo wa maisha ya wazazi hujumuisha maneno, matendo, tabia na desturi za wazazi wanazotumia katika kuendesha maisha yao ya kila siku...
C-Sema Team
Nov 25, 20172 min read
10


Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia
Katika makala haya tunaangalia namna ya kumsadia mtoto aliyezaliwa pekee kwenye familia ili kuondokana na madhara yatokanayo na malezi ya...
C-Sema Team
Nov 12, 20172 min read
3


Jinsi ya kuandaa chakula cha nyongeza cha mtoto wa miezi 6
Tumezungumza na Bi Neema Shosho, mtaalamu wa lishe toka Shirika la Chakula Duniani (WFP). Bi. Shosho ametupa darasa la namna chakula cha...
C-Sema Team
Nov 10, 20173 min read
19


Namna ya kumsaidia mtoto kukabiliana na msiba
Watoto na watu wazima hukabiliana na hali ya kuondokewa na wapendwa wao kwa njia tofauti. Mapokeo ya mtoto hutegemea umri, kiasi gani...
C-Sema Team
Nov 10, 20172 min read
0


Je mzazi unahusika katika kufaulu ama kufeli kwa mwanao masomoni?
Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili,...
Nadhira Jiddawi
Nov 2, 20173 min read
3


Mlinde mtoto wako kwa kumsikiliza
Mara nyingi huwa tunasisitiza umuhimu wa kumsikiliza mtoto. Kwanini tunasisitiza sana suala hili? Simu nyingi tunazopokea katika Kituo...
C-Sema Team
Oct 30, 20172 min read
2


Umuhimu wa baba kumsindikiza mama kliniki
Ingawa akina baba walio wengi sasa wanajua umuhimu wa kuwasindikiza wazazi wenza (akina-mama) kliniki wakati wa ujauzito na hata baada ya...
C-Sema Team
Oct 16, 20172 min read
10


Namna ya kuwalinda watoto dhidi ya ukatili mtandaoni
Mwanzoni mwa wiki hii kwa kushirikiana na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tulizindua tovuti maalumu ya kutoa taarifa za picha...
C-Sema Team
Oct 10, 20173 min read
2


Jinsia ya mtoto isiwe sababu ya kunyimwa malezi makini.
Katika makala haya tunaangazia uhusiano uliopo kati ya jinsia ya mtoto na malezi anayopatiwa na wazazi wake. Wapo wazazi ambao wangependa...
Nadhira Jiddawi
Sep 29, 20172 min read
5


RAPE on this week #116Stories..
On 17th July 2017 at 10:28, a devastated mother called the Helpline #116 from Chimala, Mbarali. She reported that her daughter, Mary, who...
C-Sema Team
Sep 13, 20171 min read
2


Namna ya kukuza mtoto msomaji
Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa...
C-Sema Team
Sep 10, 20172 min read
2


Mwanao anautumia muda kiasi gani kwenye vifaa vya kielektroniki?
Tunapozungumzia malezi ya mtoto tunaangazia hatua zote za ukuaji wa mtoto tangu mimba inapotungwa hadi kipindi cha utoto kuisha. Kipindi...
C-Sema Team
Aug 21, 20173 min read
0
bottom of page