top of page
Search


Tuanze mazungumzo ya fedha nyumbani.
Kuna fursa nyingi za kuwafundisha watoto kuhusu pesa katika maisha ya kila siku. Huhitaji kuwa na elimu ya kifedha au programu maalum.
C-Sema Team
5 days ago3 min read
2


Je, Tumefikiri kulea watoto wanaojali mazingira?
Je, tunawalea watoto wetu kwa namna itakayowawezesha kuilinda dunia yao?
C-Sema Team
Jun 163 min read
0


Reflections from the Tanzania Mental Health Summit 2025.
Kahama isn't the first place that comes to mind when people talk about national change.
C-Sema Team
Jun 104 min read
8


Mtoto kwa mzazi hakui!
Mtoto kwa mzazi hakui, hata akiwa na mji wake na watoto wake.
C-Sema Team
Jun 33 min read
0


C-SEMA Joins the First Lady of Finland in Opening New Gender and Children Desk in Zanzibar
For too many women, children and men, reporting abuse can be a frightening and isolating experience. The new Desk is a response to that reality, a dedicated space within the police station where survivors can be heard, supported, and referred to the help they need, with dignity and care.
C-Sema Team
May 233 min read
25


Ni wakati muafaka wa kujadili baleghe na watoto wetu bila hofu
Wazazi wa kizazi hiki, tunakabiliwa na changamoto mpya hasa uwanda mpana wa upatikanaji wa taarifa zenye mkanganyiko juu ya masuala la baleghe na mambo mengine ya afya ya uzazi kwa watoto wetu.
C-Sema Team
May 124 min read
19


Je, malezi ya sasa yamekuwa magumu kuliko zamani?
Je, kuwa mzazi katika ulimwengu wa leo ni kazi ngumu zaidi kuliko ilivyokuwa zamani?
C-Sema Team
Apr 303 min read
13


Kwa Nini watoto wadogo hukosa usingizi usiku?
Kukosa usingizi kwa watoto wenye umri wa mwaka mmoja (1) hadi mitatu (3) ni jambo la kawaida kabisa na siyo kosa lako na hata si kosa la mtoto.
C-Sema Team
Apr 233 min read
7


Stock taking three and a half years of the Chaguo Langu Haki Yangu Programme.
Chaguo Langu Haki Yangu has grown from a concept into a movement. A movement grounded in rights, led by people, and driven by shared values.
C-Sema Team
Apr 224 min read
50


Tahadhari inahitajika, kuacha kulea kizazi kinachochoshwa na upendo.
Juzi kati tulikuwa na maongezi na Bw. Siegfried Mbuya, mwanasaikolojia na mtaalamu wa makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto juu ya mustakabali wa malezi na mahusiano ya watoto na wazazi.
C-Sema Team
Apr 163 min read
0


Empowering Youth Through Digital SRHR Tools.
At C-Sema, we know that real change starts at the community level often with young people at the center.
C-Sema Team
Mar 283 min read
18


Jinsi tunavyoweza kuwasaidia watoto kujitayarisha kwa mitihani na masomo ya kila siku.
Je, tunapaswa kuwasaidia kwa kiwango gani? Au tuwaachie uhuru wa kujifunza wenyewe?Â
C-Sema Team
Mar 173 min read
26


Jinsi tunavyoweza kuelewa lugha ya upendo ya watoto wetu.
lugha tano za upendo ambazo ni mguso wa mwili, maneno ya kuhimiza, muda wa pamoja, zawadi, na vitendo vya huduma...
C-Sema Team
Mar 113 min read
10


Siku ya Wanawake duniani itukumbushe kuwafundisha watoto wetu thamani ya usawa na haki.
Kama wazazi, tunao wajibu mkubwa wa kuwalea watoto wetu kwa misingi ya usawa na haki.
C-Sema Team
Mar 83 min read
1


Young people are taking charge and we're here for it!
One of the most eye-opening moments? Realizing just how much bullying can affect a child’s life, mentally, emotionally, and academically.
C-Sema Team
Mar 43 min read
68


Tunawezaje kuzungumza na watoto wetu kuhusu suala la mahusiano?
Kuzungumza na watoto kuhusu mahusiano huwa ni jambo gumu kwa wazazi wengi wa Kitanzania. Utamaduni wetu unahimiza heshima na maadili ya...
C-Sema Team
Feb 243 min read
23


Uniting with Communities in Mara to protect girls and women from FGM and all forms of GBV.
Ending FGM is not just about changing laws—it’s about changing mindsets, dismantling harmful traditions, and empowering girls.
C-Sema Team
Feb 145 min read
23


Tunawezaje kuwalinda watoto wetu mtandaoni?
Ingawa majukwaa haya yanatoa nafasi ya kujifunza na kuburudika, pia yanawaweka karibu na hatari kama vile unyanyasaji wa kingono.....
C-Sema Team
Feb 103 min read
25


Kauli chanya zina nguvu katika kuimarisha ukuaji wa hisia na akili kwa watoto wetu.
Sayansi inasemaje kuhusu kauli chanya? Kauli chanya huchochea mabadiliko chanya katika akili za watoto.
C-Sema Team
Jan 213 min read
50


Tunawezaje kuimarisha mawasiliano na watoto wetu kwa namna inayojenga maadili ya familia?
Kama wazazi, tunaweza kufanikisha hili kwa kuwauliza watoto maswali rahisi na yenye maana yatakayowasaidia kutafakari kuhusu maisha yao.
C-Sema Team
Jan 143 min read
13
bottom of page