top of page
#Malezi
Protecting children in the digital world, while at the same time allowing them to unlock opportunities to learn and express themselves is a major challenge of our time. That being said, the digital space can also be a platform for parents or parents to be to learn about parenting. Through our social media platforms we talk about everything parenting, we assure parents that there is no such thing as perfect parenting and offer them ways of which can improve their relationships with their children and better their parenting skills.
Read the latest on Parenting...


Watoto wafanye nini likizo hii zaidi ya kutazama runinga na kutumia simu?
Watoto wetu wako likizo. Milango ya shule imefungwa, ratiba za kila siku zimebadilika, na nyumbani kuna muda mwingi zaidi wa pamoja. Katika kipindi hiki, ni rahisi sana sisi kama wazazi kuruhusu simu na runinga kuchukua nafasi kubwa ya siku hasa tunapojaribu kupumzika au kutekeleza majukumu mengine ya maisha.
C-Sema Team
Dec 20, 20253 min read


Migogoro ya watoto wakati wa likizo. Tunawasaidiaje?
Kipindi cha likizo na sikukuu huwa na mvuto wake wenyewe: vicheko, harufu za chakula, pilikapilika za wageni, na watoto kukimbizana kila upande. Ni msimu unaojaza nyumba furaha hadi pale tunaposikia.
“Mama! Amenichukulia kitu changu!”
“Baba! Amenisukuma!”
C-Sema Team
Dec 18, 20252 min read


How parents and teachers can work together to resolve children’s conflicts without taking sides.
Have you ever received a call saying your child was involved in a conflict at school and your heart jumped to your child's defense before you even heard the other side of the story?
C-Sema Team
Nov 25, 20252 min read


How we can teach children to stand firm when facing bullying.
Research shows that when children learn how to handle bullying early, they build resilience, an inner strength that helps them throughout their lives. Experts like Dr. Dan Siegel explain that when we teach children how to protect themselves emotionally and logically, we help strengthen the part of their brain that supports confidence, self-control, and decision-making.
C-Sema Team
Nov 18, 20253 min read


Watoto wetu wanapohisi hofu katika kipindi hiki tunawezaje kuwasaidia?
Tunapobaki watulivu, watoto wetu huanza kutulia. Tunapowapa matumaini, mioyo yao huanza kupona. Na tunapowaonyesha upendo, wanajifunza kwamba hata baada ya maumivu, dunia bado ni mahali salama.
C-Sema Team
Nov 3, 20252 min read


What it means to prepare our daughters for their first period.
There comes a day in every parent’s life filled with mixed emotions the day our daughter gets her first period. For her, it is a sign of growth and change; for us, it is a reminder that she is stepping into a new stage of life. This moment can arrive suddenly, carrying excitement, curiosity, and sometimes fear. Yet too often, it is surrounded by silence or shame. That is where our role as parents comes in: to make it an ordinary, dignified moment not one of shock or embarrass
C-Sema Team
Aug 30, 20252 min read


Helping our children prepare for a new school at every stage.
Starting a new school is always a big deal for our children, no matter their age. It can be exciting, but it can also feel scary, new classrooms, new teachers, new routines, and a sea of unfamiliar faces. As parents, our role is to make that change feel less overwhelming and more like an adventure.
C-Sema Team
Aug 20, 20253 min read


Tabia 10 ambazo watoto wetu hujifunza kutoka kwetu
Mara nyingi tunasema kwamba watoto ni waigizaji wazuri lakini je, tumewahi kufikiria wanachoiga ni nini?
C-Sema Team
Jul 21, 20254 min read


Tunawezaje kuthibiti hisia za hasira pale tunapochukizwa na matendo ya watoto wetu?
Tunapochagua kupiga au kufoka, mara nyingi wanajifunza kwamba matatizo hutatuliwa kwa nguvu na mabavu.
C-Sema Team
Jul 16, 20254 min read


Je, tunawafundisha watoto wetu kuchagua chakula bora?
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), lishe bora katika utoto wa awali hupunguza hatari ya utapiamlo, unene uliopitiliza, na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari baadaye maishani.
C-Sema Team
Jul 9, 20253 min read


Watoto wetu wanatazama na kusikiliza nini wakati huu wa likizo?
Tafiti zinaonesha kuwa watoto wanaotumia muda mwingi kutazama filamu na muziki bila usimamizi huanza kuonesha mabadiliko ya tabia: hukasirika kwa haraka, huiga lugha zisizofaa, au hukosa huruma kwa wengine.
C-Sema Team
Jul 2, 20253 min read


Tuanze mazungumzo ya fedha nyumbani.
Kuna fursa nyingi za kuwafundisha watoto kuhusu pesa katika maisha ya kila siku. Huhitaji kuwa na elimu ya kifedha au programu maalum.
C-Sema Team
Jun 18, 20253 min read
bottom of page
