top of page
Search


Ijue sheria ya viboko mashuleni
Hivi karibuni na hasa juma hili kumekuwa na taarifa za matukio mengi ya walimu kuwaadhibu wanafunzi kwa viboko kiasi cha kupelekea vifo,...

C-Sema Team
Oct 15, 20192 min read


#SimuliziZa116: Baba asaini makubaliano kutoa matunzo kwa watoto baada ya talaka
Huduma ya Simu kwa Mtoto Zanzibar tulipokea simu kutoka kwa mama wa watoto watatu wenye umri wa miaka mitano (5), mitatu (3) na wa mwisho...
Nadhira Jiddawi
Oct 1, 20191 min read


Fahamu mzunguko wa hedhi.
Ufahamu juu ya mzunguko wa hedhi husaidia. Mzunguko wa hedhi huanza siku ya kwanza pale ambapo mwanamke anapoona damu nyekundu na siyo tu...

C-Sema Team
Sep 11, 20191 min read


KUWAZA: Partners visit to learn from beneficiaries, other partners and government in Zanzibar.
KUWAZA, THINK in English stands for Kuzuia Udhalilishaji wa Watoto. Funded by the Oak Foundation, KUWAZA has the main goal to end...
Kiiya JK
Sep 5, 20194 min read


#SimuliziZa116: Alibakwa na kulawitiwa hadi kifo tena siku ya Idd
Kisa hiki kimetokea mwaka jana wakati wa sherehe za Idd mjini Unguja. Binti mwenye ulemavu wa akili aliachwa nyumbani, kote kumefungwa...
Nadhira Jiddawi
Aug 28, 20191 min read


#116Stories: 10-years old Diana is enrolled into school
A Good 'Samaritan' reported a teacher who was living with a 10-year-old girl 'Diana' as his domestic worker, attending to complex...

C-Sema Team
Aug 21, 20192 min read


#116Stories: 7 days are painful!
“Yes we would love to study and pass our exams, but it’s ridiculous for us to spend 7 days of the week at school with no rest nor family...

C-Sema Team
Aug 18, 20191 min read


Mwongozo wa kujenga mahusiano bora baina ya watoto wa tumbo moja
Mara nyingi tunapowaza juu ya kupata mtoto mwingine huwa picha zinazokuja vichwani mwetu ni kuwa sasa mwanangu/wanangu wanakwenda kupata...

C-Sema Team
Jul 11, 20192 min read


Utajuaje kama mwanao anafanyiwa ukatili wa kingono?
Kuna swali ambalo watu wengi hupenda kuuliza kupitia Huduma ya Simu kwa Mtoto, namba 116. Utamjuaje mtu anayeweza kumkatili mtoto...
Nadhira Jiddawi
Jun 13, 20192 min read


#116Stories: Neighbour’s call help stop child marriage.
It was such a cool afternoon, and the Child Helpline was busy at work. Suddenly one of the counselors received a call from a woman who...

C-Sema Team
Jun 11, 20192 min read


Kwa nini tunapswa kuimarisha ulinzi wa watoto kuelekea siku kuu ya Iddi?
Msimu wa sikukuu huambatana na furaha zisizo na kifani, furaha ambazo huwapunguzia wazazi uchovu unaotokana na mihangaiko yao katika...

C-Sema Team
Jun 1, 20193 min read


#SimuliziZa116: Aolewa na alombaka kuficha aibu ya familia (muhali)
Mnamo Februari 14, 2019, Huduma ya Simu kwa Mtoto Unguja tulipokea simu kutoka kwa binti akiomba msaada kulipa bili ya matibabu ya mtoto...
Nadhira Jiddawi
May 23, 20192 min read


Kwanini mtoto aliye na umri wa chini ya miaka 10 hapaswi kupelekwa shule za bweni
Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa...

C-Sema Team
May 17, 20193 min read


Zijue adhabu zinazotolewazo sheria ya mtoto inapovunjwa
Makala haya yanaangazia baadhi ya adhabu chache zinazogusa maisha ya wazazi / walezi na hata watoto katika kutimiza majukumu yao ya kila...

C-Sema Team
May 16, 20192 min read


Fahamu sababu ya watoto wachanga kucheua
Kucheua kwa mtoto ni kitendo cha mtoto kutoa mabaki ya chakula yanayopitia mdomoni muda mfupi tu baada ya kula ama kunyonya. Kwa wazazi...

C-Sema Team
May 10, 20193 min read


Hebu tuwalinde watoto dhidi ya unyanyasaji wa kingono mtandaoni
Mwaka 2018 zilipatikana takribani tovuti 105,000 zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto. Tovuti hizi huwa na picha na video...

C-Sema Team
May 2, 20193 min read


Mtoto Josephine (jina halisi limehifadhiwa) atolewa katika ndoa na kurudi shuleni.
Mnamo tarehe 10 Januari mwaka 2019 jirani mmoja kutoka wilayani Hai kata ya Bondeni alipiga simu Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto...

C-Sema Team
Apr 25, 20191 min read


#SimuliziZa116: Mtoto Salma asifirishwa toka Ngara na kutelekezwa barabarani Kilosa
Yalikuwa majira ya jioni kunako saa 1:35 usiku tulipopokea simu kutoka Kilosa mkoani Morogoro, Msamaria mwema atoa taarifa katika Kituo...

C-Sema Team
Apr 9, 20193 min read


Sayansi inasema wazazi wenye watoto waliofanikiwa wana mambo haya 10 ya kufanana
Mzazi yeyote mwema hupenda watoto wake wasiingie kwenye matatizo, wafanye vizuri masomoni na kufanya kazi za maana utu uzimani. Kwakuwa...

C-Sema Team
Apr 5, 20193 min read


Biblia: kwa nini Waebrania hawakuwachapa watoto viboko
Uhalisia ni kwamba fimbo ambayo mara nyingi imekua ikizungumziwa kwenye Biblia kama fimbo anazotakiwa kupewa mtoto ili kumjenga ni fimbo...

C-Sema Team
Mar 31, 20193 min read
bottom of page
