top of page
Search


C-Sema Team
May 30, 20173 min read
Zifahamu changamoto tano za malezi ya mtoto katika balehe (miaka 12 - 14)
Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza; madiliko haya hutokana na homoni ambazo hupelekea...
1


C-Sema Team
May 22, 20172 min read
Njia tano za kufanya nyumbani eneo la elimu kwa mtoto
Utakubaliana nasi kuwa 'shule' ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani 'wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa...
1


C-Sema Team
May 16, 20173 min read
Athari za kuweka picha za watoto wako mtandaoni
Matukio ya matumizi mabaya ya picha za watu mtandaoni yanaongezeka siku hata siku: Picha ya askari iliyochukuliwa katika mitandao ya...
12


C-Sema Team
May 10, 20173 min read
Mtambulishe mtoto kwa wazazi na ndugu wa familia tandaa
Tamaduni zetu za kiafrika zinaasa malezi ya watoto kufanywa na wazazi wote wawili, mama na baba. Majira sasa yameanza kubadilika na leo...
1


Nadhira Jiddawi
May 2, 20172 min read
Jinsi ya kumsaidia mwanao aache kukojoa kitandani
Hata kama mwanao amefundwa na kuelewa kwamba anapobanwa na haja akahitaji kujisaidia lazima aende chooni, usishangae awapo usingizini...
2


C-Sema Team
Apr 24, 20172 min read
Namna 3 za kujenga uwezo wa mtoto kuelewa mambo
Wazazi wengi hupata fahari mtoto akitimiza umri wa miaka mitatu - baada ya shughuli nzito za kumuangalia akijifunza kukaa, kutambaa na...
10


C-Sema Team
Apr 20, 20173 min read
Kuthamini matarajio ya mtoto sio kumdekeza
Matarajio ya watoto ni jambo ambalo limekuwa halipewi kipaumbele na wazazi ama walezi walio wengi kwa kudhani kwamba watoto ni viumbe...
4


C-Sema Team
Jan 10, 20173 min read
Upo umuhimu wa kulinda na kuheshimu haki za watoto
Ni dhahiri kwamba malezi tuwapatiayo watoto huwa ndiyo msingi wa mustakabali wao. Maisha ya mtu hutegemea sana msingi wa malezi aliyopata...
3


C-Sema Team
Jan 3, 20172 min read
Maandalizi ya watoto kurudi shuleni
Likizo zimekwisha na shule nyingi hasa zile za uma zinaanza muhula wa masomo juma hili. Tumekukusanyia dokezo chache toka kwa wazazi...
0


C-Sema Team
Jul 26, 20162 min read
Girls need mother's inspiration to thrive
I open my eyes just as the first cock begins to crow. It is still dark outside. Yawning and stretching, I get up and hurry to clean the...
0


C-Sema Team
Jun 14, 20163 min read
Malezi katika zama za utandawazi na runinga/TV
Ni ukweli usiopingika kuwa kuenea kwa tehama (teknolojia ya habari na mawasiliano) vimeathiri jinsi tunavyolea watoto wetu. Runinga,...
5


C-Sema Team
Apr 23, 20163 min read
Watoto wadogo huuliza mama zao zaidi ya maswali 300 kila siku
Wengi mtakubaliana nasi kuwa watoto wadogo hasa wale wanaonza kujua kuongea (miaka miwili hadi miaka minne) huwa na maswali chungu nzima...
4


C-Sema Team
Feb 28, 20162 min read
Yajue magonjwa yanayozuilika kwa chanjo kwa watoto - (sehemu ya pili)
Hii ni sehemu ya pili ya makala haya juu ya chanjo. Makala haya yanachambua maandiko mbalimbali toka Mpango wa Taifa wa Chanjo...
6


C-Sema Team
Feb 27, 20163 min read
Yajue magonjwa yanayozuilika kwa chanjo kwa watoto
Makala haya yanachambua maandiko mbalimbali toka Mpango wa Taifa wa Chanjo ulioanzishwa ili kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa...
3


Nadhira Jiddawi
Feb 11, 20162 min read
Kumlea mtoto bila viboko inawezekana?
Malezi bora huhitaji msingi imara kama ilivyo kwa ujenzi wa nyumba. Leo tunaangazia swala la viboko katika malezi na kujielimisha kama...
0


C-Sema Team
Feb 1, 20164 min read
Kwa nini ukosefu wa lishe bora ni sababu ya vifo 130 vya watoto kila siku Tanzania
Lishe duni ni chanzo kikubwa cha magonjwa na vifo vya watoto hapa Tanzania. Kiasi cha watoto 130 hupoteza maisha kila siku kutokana na...
6


C-Sema Team
Jan 15, 20163 min read
Ijue nafasi ya wazazi na watoto katika kurithi mali za wapendwa wao.
Wakati wa kilele cha kuadhimisha siku ya mahakama siku chache zilizopita tulishuhudia mama mmoja akidai haki yake na watoto katika...
0


C-Sema Team
Oct 29, 20103 min read
Malezi kwa watoto waishio na virusi vya ukimwi (VVU)
Katika Makala hii tutaangazia watoto wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa watoto walio katika umri wa kujitambua na kuweza...
1
bottom of page