top of page
Search


C-Sema Team
Apr 5, 20193 min read
Sayansi inasema wazazi wenye watoto waliofanikiwa wana mambo haya 10 ya kufanana
Mzazi yeyote mwema hupenda watoto wake wasiingie kwenye matatizo, wafanye vizuri masomoni na kufanya kazi za maana utu uzimani. Kwakuwa...
4


C-Sema Team
Mar 31, 20193 min read
Biblia: kwa nini Waebrania hawakuwachapa watoto viboko
Uhalisia ni kwamba fimbo ambayo mara nyingi imekua ikizungumziwa kwenye Biblia kama fimbo anazotakiwa kupewa mtoto ili kumjenga ni fimbo...
40

C-Sema Team
Mar 21, 20192 min read
Kwa nini mwalimu aliyemchapa mtoto hadi kufa amehukumiwa kunyongwa
Marehemu alikuwa anasoma wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba, jina lake ni Sperius Eradius...
4


C-Sema Team
Mar 13, 20193 min read
Sibling wars: helping children get along after quarrels
It is not uncommon to see siblings quarrel sometimes to the point of getting into fights and often trying to get back at each other for...
1


C-Sema Team
Mar 9, 20192 min read
Hizi hapa hatari tano anazoweza kukutana nazo mwanao mtandaoni.
Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu...
2


C-Sema Team
Mar 8, 20192 min read
Ujue waraka wa elimu kuhusu adhabu ya viboko shuleni Tanzania Bara
Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali...
51


C-Sema Team
Feb 28, 20192 min read
Ndoa za utotoni: changamoto kwa maendeleo ya binti.
Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inatoa ufafanuzi kuwa mtoto ni mtu aliye na umri chini ya miaka 18. Kimsingi, ndoa za utotoni ni muungano...
13


C-Sema Team
Feb 25, 20192 min read
Usalama wa mtoto wako wakati wa dharura
Kama mzazi, afya na usalama wa mtoto wako unavipa kipaumbele. Kila siku, unahakikisha kuwa mtoto wako anakula vizuri, anapumzika vya...
0

C-Sema Team
Feb 18, 20192 min read
Hatupaswi kupata usingizi kwa watoto 10 waliochinjwa Njombe hapahapa Tanzania.
Matukio ya watoto wa umri kati ya miaka miwili hadi sita kuchinjwa na kukatwa koromeo, sehemu za siri na ulimi wilayani Njombe hapa-hapa...
1


C-Sema Team
Jan 24, 20192 min read
Kwa nini mtoto anahitaji malezi ndani ya familia
Miaka ya hivi karibuni kumetokea mfumuko wa vituo vingi vya kulelea watoto waishio kwenye mazingira magumu. Hii ni kutokana na mfumo...
1


C-Sema Team
Jan 11, 20192 min read
Shule ya kwanza ya mtoto ni nyumbani
Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa...
2


C-Sema Team
Jan 11, 20193 min read
Athari za Matumizi ya Vifaa vya Kielektroniki kwa Watoto
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba mabadiliko ya teknolojia yameleta athari hasi na chanya katika nyanja tofauti za maisha ya kila siku ya...
78


C-Sema Team
Jan 3, 20193 min read
The effects of alcohol on your unborn baby
If you are pregnant or trying to get pregnant then alcohol is a no-go. Alcohol consumption by pregnant mothers can have numerous effects...
1


C-Sema Team
Jan 2, 20192 min read
Je una malengo ya malezi ya mwaka mpya?
Tunapouanza mwaka mpya wengine tunaona kama Januari 2018 ilikuwa jana, si jambo la kushangaza namna muda unavyokwenda kasi. Ghafla...
1


Nadhira Jiddawi
Dec 29, 20183 min read
Je, watoto wa Tanzania wako salama kwenye mitandao?
Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano hasa inteneti, simu na mitandao ya kijamii yamekuwa na athari chanya na hasi kwa...
0


C-Sema Team
Dec 26, 20183 min read
Are Tanzanian children safe online?
Rapid advancement in information and communication technologies in terms of access and the use of Internet, Mobile phones, and social...
1


C-Sema Team
Dec 21, 20182 min read
Je nini hasa maana ya malezi na ulinzi kwa mtoto?
Tafsiri ya kitaalamu inaelezea malezi kuwa ni mchakato wa maandalizi ya mtoto utakaomwezesha kukua, kukubalika na kushiriki katika...
2


C-Sema Team
Dec 3, 20182 min read
Njia 7 za kumwepusha mtoto 'kuharibikiwa' msimu huu wa likizo
Inasikitisha kuona ingawa dhamira zetu ni nzuri kwa kuwapa watoto watakayo msimu huu, sisi wazazi ni sehemu ya tatizo pale watoto...
2


C-Sema Team
Nov 13, 20183 min read
Dear Parents: Help the Help
For time immemorial, house chores have been a necessity so that we can live decent, comfortable and healthy lives. In many cultures,...
0


C-Sema Team
Nov 6, 20182 min read
Fanya hivi uwe mfano wa kuigwa na mtoto wako
Watoto wanazaliwa pasi na uelewa wa kutosha juu ya mahusiano ya kijamii na hivyo kila uchao wanatafuta kwa hamu mtu wa kuiga. Huyu...
2
bottom of page