top of page
Search


Je ninaweza kumfundisha mwanangu kulala hadi asinzie pekee yake?
Mkurugenzi wa kituo cha kushughulikia matatizo ya usingizi kwa watoto kilichopo hospitali ya Bostoni Daktari Richard Feber amefanya...
C-Sema Team
Oct 30, 20202 min read
3


Zijue njia rahisi za kuhudumia ngozi ya mwanao.
Watoto wachanga na wadogo huwa wanaweza kupata magonjwa ya ngozi kwa urahisi kwani ngozi yao ni laini, nyororo ambayo inaweza...
C-Sema Team
Oct 29, 20205 min read
4,134


#116Stories: Baba Joseph receives help on son health
In early August we received a call about a young boy named Joseph. Baba Joseph called the Helpline concerned about his little boy. He...
C-Sema Team
Oct 23, 20201 min read
0


Utaepukaje kifo cha ghafla cha mwanao?
Je, umewahi kusikia watoto wachanga wakifa usingizini ghafla tu? Kinga ni bora kuliko tiba. Kumbuka kuchukua tahadhari kila unapokuwa...
C-Sema Team
Oct 21, 20202 min read
0


Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana.
Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na...
C-Sema Team
Oct 16, 20202 min read
6


Kujamiiana kwa mipango ili kupata mtoto.
Hapa kuna maswali yanayoulizwa mara kwa mara na wenzi wanaotafuta mtoto. Ni mara ngapi tunahitaji tujamiiane / kukutana? Jibu ni mara...
C-Sema Team
Oct 10, 20202 min read
19


Zijue mbivu na mbichi kuhusu kumlisha mwano kwa kutumia chupa
Kuhusu glasi au chupa ya kulishia. Kuna chupa za aina mbili zinazotumika katika kulishia mtoto maziwa. Chupa za glasi au chupa za...
C-Sema Team
Oct 9, 20203 min read
133


Changamoto zinazojitokeza wakati wa kunyonyesha
Ukavu na kupasuka kwa chuchu. Unapaoanza kunyonyesha unaweza kukumbana na ukavu na hata kupasuka kwa chuchu. Ili kuepuka adha kama hizi...
C-Sema Team
Oct 9, 20204 min read
2,887


Je, ni chakula gani umlishe mwanao katika mwaka wake wa kwanza?
Anza vyakula vya kulikiza kuanzia mwezi wa 6. Kumbuka kabla ya kuanza vyakula vigumu mwanao anatakiwa awe ana uwezo wa kukaa, awe ameweza...
C-Sema Team
Oct 7, 20203 min read
27


#116Stories: Helpline call sends sexual abuser to prison
On 17th September 2020, the National Child Helpline received a call from a concerned neighbour reporting a sexual abuse incident of a...
C-Sema Team
Oct 7, 20201 min read
2


Je, kuna mazingira ambayo yanaweza kumfanya mama asiweze kunyonyesha vyema?
Kuna wakati mama ananweza kushindwa kunyonyesha mtoto kwa sababu zisizoweza kuzuilika, mathalani kifo cha mama, mama mwenye mtoto ambaye...
C-Sema Team
Oct 2, 20202 min read
16


Vitu gani vya kuzingatia wakati wa unyonyeshaji?
Mosi ni kuchunguza. Chunguza dalili za kuwa na njaa kwa mwanao na umnyonyeshe mwanao pale anapokuwa na njaa. Huu ndio unaoitwa...
C-Sema Team
Sep 30, 20201 min read
3


Je, naweza kupata maziwa yakutosha?
Akina mama wengi huwa wana wasiwasi kama wana maziwa ya kutosha. Katika siku za kwanza baada ya kujifungua mama huwa anatoa maziwa ya...
C-Sema Team
Sep 24, 20203 min read
10


Kuhusu uwezekano wa kupata ujazito.
Hili ni swali la msingi. Ni upi uwezekano wa mama kupata ujauzito ndani ya mwezi? Uwiano wa mwanamke kupata ujauzito ni asilimia 15%...
C-Sema Team
Sep 19, 20202 min read
127


Faida za unyonyeshaji kwako na mwanao
Faida za unyonyeshaji kwa mwanao. Maziwa ya mama humpatia mtoto virutubisho vyote anavyohitaji katika miezi 6 ya mwanzo toka kuzaliwa....
C-Sema Team
Sep 19, 20202 min read
3


Mambo 10 usiyoyajua kuhusu watoto wachanga.
Makala haya yameandaliwa kutokana na mahojiano yetu na mtaalam wa afya ya watoto toka katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Malawi – Blantyre...
C-Sema Team
Sep 17, 20204 min read
2,048


Ubongo wa mtoto hutengamaa ndani ya siku 1,000 za mwanzo.
Hivi ni kina mama, kina baba na walezi wangapi wanafahamu namna siku 1,000 za mwanzo za utoto zilivyo muhimu kwa maisha ya mtoto na namna...
C-Sema Team
Sep 15, 20202 min read
7


Kuzaliwa hadi mwaka wa kwanza wa maendeleo ya mwanao.
Kumhumdumia mtoto mdogo (chini ya mwaka mmoja) linaweza kuwa jambo la kuchosha lakini kuna mengi ya kutumainia. Chukua muda wako kutembea...
C-Sema Team
Sep 8, 20203 min read
1


Namna ya kumsaidia mama mjamzito akiwa kwenye uchungu wa uzazi.
Msaada mkubwa zaidi ambao unaweza kumpa mama mjamzito ajifungue kwa usalama ni kumtia moyo kwa upendo. Epuka kuingiza vidole vyako ukeni...
C-Sema Team
Sep 2, 20202 min read
315


Uchungu wa uzazi.
Uchungu wa uzazi hutokana na kubana na kuachia (tena kwa kurudiarudia) kwa misuli katika tumbo la uzazi. Misuli hii inavyobana na kuachia...
C-Sema Team
Aug 26, 20203 min read
627
bottom of page